Total Pageviews

Saturday, February 26, 2011

SEMINA ELEKEZI


Bismillahir Rahmaanir Rahiim
MPANGO WA SEMINA YA WALIMU WA E.D.K. IRINGA, MANISPAA

LENGO:    Kuwaandaa Walimu kufundisha E.D.K Shule za Msingi na Sekondari,Iringa 
MFUKO WA E.D.K       
MUDA:      Siku 2; tarehe 03-04/03/2011

MAHALI:  Darul Uloom, Ipogolo   

WALENGWA: Walimu wote watakaofundisha E.D.K Iringa Manispaa
                                                              
IDADI YA WASHIRIKI WA SEMINA:
WALIMU
WADAU
WAHADHIRI
JUMLA
MFUKO WA E.D.K60
10
5
75
  
MADA ZA SEMINA:
NA.
MADA
MUWASILISHAJI
1
Lengo la Program ya E.D.K
Ust. Abubakar Chalamila
2
Mazingira ya Shule
Ust. Zuberi Adinan
3
Maandalizi ya somo
Ust. Jumanne Mangi
MFUKO WA E.D.K4
Nafasi na Haiba ya Mwalimu Muislam
Ust. Said Muhammad
5
Dhima ya Mwalimu
Ust. Shams Elmi
6
Mgawanyo wa shule
Ust. Zuberi Adinan
                                        
BAJETI YA SEMINA:

NA.

MAHITAJI

KIASI/BEI (SIKU 2)

GHARAMA (Tsh.)

1
Daftari
60×2= 120×230/=
27,600
2
Kalamu
60×2=120×200/=
24,000
3
Mikoba(Cear bags)
60×500/=
30,000
4
Mchele
20kg×2=40kg×1000/=
40,000
5
Nyama
10kg×2=20kg×4000/=
80,000
6
Sukari
2.5kg×2=5kg×2000/=
10,000
6
Mikate
20×2=40pcs×1000/=
40,000
7
Mafuta
2.5×2=5lts×3000/=
15,000
8
Maji
6dzn×2=12dozen×2400/=
57,600
9
Mboga za majani
2×5000/=
10,000
10
Viungo
2×10000/=
20,000
11
Vitini vya mada
2×4pgs×60×30/=
14,400
12
Taarifa na Mawasiliano

10,000

MFUKO WA E.D.KJUMLA

378,600
                            Wabillahit Tawfiiq

No comments:

Post a Comment